strugglequotes

strugglequotes

Jumatano, 8 Februari 2017

joh makini-waya official vudeo


struggle quotes


Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda ampongeza T.I.D

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda ampongeza T.I.D

Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda leo February 8 2017 amesimama mbele ya Waandishi wa habari kwenye awamu ya pili ya ishu ya dawa za kulevya na kutaja watu mbalimbali wanaotakiwa kufika Polisi Ijumaa kwa ajili ya mahojiano kwa ishu za dawa za kulevya.
Wakati akitaja list hiyo, Paul Makondaametumia time yake kumpongeza Mwimbaji wa bongofleva TID kwa kukiri kuwahi kutumia dawa za kulevya na kuomba msaada wa Serikali kusaidiwa kuachana na matumizi ya dawa izo.
Haya ndio aliyoyasema Makonda >>> “Asante kwa mtu kama T.I.D, nawapongeza kwa kukiri na kusema kuwa wanatambua namna walivyoingia kwenye utumiaji wa dawa za kulevya na kuomba serikali kuwasaidia kuachana nazo“        

Awamu ya pili ya Makonda na dawa za kulevya, ajibu pia kuhusu Wema na Masogange


Mkuu wa mkoa Dar es salaam Paul Makonda amesimama tena mbele ya Waandishi wa habari Dar es salaam leo February 8 2017 kwenye sakata la ishu ya Dawa za kulevya ambapo ameiita hii ni awamu ya pili ya kuwataja.
Pamoja na kuitaja orodha yenyewe, Waandishi wa habari hawakusita kumuuliza kuhusu mwigizaji Wema Sepetu kutoonekana na wenzake Mahakamani janavipi kuhusu kinachoandikwa kuhusu yeye na Masogange? majibu yote yapo kwenye hii video hapa chini